Ikiwa kama blog ambayo inajihusisha na burudani kwa ujumla inawafahamisha wapenzi wote wa burudani hasa muziki wa hapa nchini na nchi za nje kwa ujumla kuwa wakae tayari kwani muda si mrefu blog yetu itaanza kutupia burudani za uhakika ikiwamo na habari mbali mbali ambazo zinaendelea ulimwenguni katika soko la muziki. weka swagger mkush wetu!







