Hello ma pple ni jambo la furaha kwa wale wenye kujua muziki lakini hawakupata nafasi ya kusikika kutokana na sababu za kipesa zaidi,hivyo ikiwa kama One Love Records chini ya producer wake Mubyzow inawapa nafasi watu wote kurecord nyimbo kwa bei nafuu na kufanya video zenye ubora kwa bei nafuu zaidi.Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0713 343 414 /0766 343 414/0716 999 123 au tuma katika taffgizzle@hotmail.com pia unawezakufika katika studio zetu zilizopo Kimara mwisho opposite na Paradigms schools! U R ALL WELCOME!







