Hoodclickerz introduce to you the one of the best young MC Gucci Bandana...With a new song TAMAA.....Get to it.......BIG UP OUR ARTIST & OUR FANS HooDCLickerZ For you____

25 June 2011

One Love Records!

Hello ma pple ni jambo la  furaha kwa wale wenye kujua muziki lakini hawakupata nafasi ya kusikika kutokana na sababu za kipesa zaidi,hivyo ikiwa kama One Love Records chini ya producer wake Mubyzow inawapa  nafasi watu  wote kurecord nyimbo  kwa  bei nafuu na  kufanya video zenye ubora kwa bei nafuu zaidi.Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba  0713  343 414 /0766  343  414/0716 999 123 au tuma katika taffgizzle@hotmail.com pia unawezakufika katika studio zetu zilizopo Kimara mwisho opposite na Paradigms schools!    U R ALL WELCOME!

0 comments: